Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Harambee ya
kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji Maalum cha Bagamoyo
Diaconic Lutheran Centre kwenye hafla iliyofanyika Diamond Jubilee
Jijini Dar es Salaam.
Rais Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond
Jubilee Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuongoza Harambee ya kuchangia ujenzi
wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre
tarehe 05 Juni, 2025.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre tarehe 05 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi kutoka kwa
Watoto wenye Mahitaji Maalumu wakati wa Harambee ya Uchangiaji fedha kwaajili
ya Ujenzi wa kituo Cha Watoto wenye Mahitaji Maalumu Cha Kitopeni Diakonia
Bagamoyo Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo Juni 05,2025.
Viongozi pamoja na
wageni mbalimbali wakiwa hafla ya uchangiaji ujenzi wa Kituo cha watoto wenye
mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre katika ukumbi wa Diamond
Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Juni, 2025.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa hafla ya uchangiaji ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kimara wakati ikiimba kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Juni, 2025.

0 Maoni