Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa leo Juni 3, 2025, amehani msiba
wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye
ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar
es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa leo Juni 3, 2025, akitia saini kitabu cha maombolezo wakati akihani msiba
wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye
ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar
es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025, amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es Salaam.

0 Maoni