Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko
(wa kwanza kushoto) pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji
Stanslaus Nyongo (katikati) bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2025 (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akizingumza na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na
Uratibu) William Lukuvi bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2025 (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akizingumza na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Andrea Kundo Mathew,
bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Maoni