WAZIRI MKUU, Kassim
Majaliwa leo Juni 03, 2025 ni mgeni rasmi katika jukwaa la vijana na mazingira
linalofanyika katika ukumbi wa maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Jukwaa hilo la vijana
na mazingira lina malengo ya kuwaunganisha vijana kutoka sehemu mbalimbali
nchini, kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya mazingira pamoja na kuwawezesha
kushiriki kikamilifu katika kubuni na kutekeleza mikakati ya kutatua changamoto
za mazingira nchini.
Tuliko hili ambalo ni
sehemu ya maadhimisho kuelekea siku ya Mazingira Duniani, limeandaliwa na Ofisi
ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa kushirikiana na Taasisi ya
Africa Carbon Agency.
0 Maoni