Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akiwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 19, Bungeni jijini Dodoma.

Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake wakifuatilia mjadala Bungeni jijini Dodoma ambapo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 19,2025.

0 Maoni