Rais Samia aongoza mazungumzo na mgeni wake Rais wa Namibia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam jana tarehe 20 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam kufuatia ziara ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah jana tarehe 20 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mweji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam jana tarehe 20 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mweji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam jana tarehe 20 Mei, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni