Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.


 

Chapisha Maoni

0 Maoni