Ufafanuzi kuhusu ununuzi wa umeme kutoka Ethiopia

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felschemi Mramba ametoa ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Serikali wa kununua umeme kutoka nchini Ethiopia kwa ajili ya matumizi ya mikoa ya Kaskazini.



Chapisha Maoni

0 Maoni