Rais Dkt. Samia ashiriki Baraza la Eid El-Fitr

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Eid El-Fitr katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025.

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete akishiriki pamoja na wageni wengine Baraza la Eid El-Fitr katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025.

Baadhi wa viongozi wa dini pamoja na wageni wengine wakishiriki Baraza la Eid El-Fitr katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni