Waziri Mkuu, Mhe.
Kassim Majaliwa leo Februari 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi
wa Elimu ya Juu, inayofanyika kwenye Kituo cha Mikutano wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Dar es Salaam.
Maadhimisho
hayo yaliambatana na kliniki za huduma katika mikoa 7 nchini yakilenga kutoa
elimu kwa wadau muhimu wa masuala ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.
Kaulimbiu ya
maadhimisho ni “Maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu
ya Juu- Athari chanya, Ubunifu na Huduma.”
0 Maoni