Waziri Chana afanya ziara ofisi za Makao Makuu TANAPA

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) yaliyopo jijini, Arusha.

Balozi Chana, leo tarehe 14, Novemba 2024 anafanya ziara ya kikazi TANAPA na amepokelewa na mwenyeji wake Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, Musa Nassoro Kuji. 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) yaliyopo jijini, Arusha.




Chapisha Maoni

0 Maoni