Ziara ya Waziri Mkuu Wilaya ni Kigamboni

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Mradi wa Uchakataji Maji Taka uliopo Somangira NAFCO akiwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni Mkoani Dar es salaam, Oktoba 6, 2024.  Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wanachama wa Jukwaa la Wajane Wilaya ya Kigamboni ambao walijitokeza kushiriki katika tukio la Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa wa Dar es Salaam eneo la Somangira NAFCO wilaya ni Kigamboni Oktoba 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanachama wa Jukwaa la Wajane Wilaya ya Kigamboni ambao walijitokeza kushiriki katika tukio la Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa wa Dar es Salaam eneo la Somangira NAFCO wilaya ni Kigamboni Oktoba 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni