Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omar (kushoto) akiangalia namna Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki waliokuwa katika mafunzo wakifanya mazoezi ya uboreshaji kwa vitendo katika kituo cha Walimu Bububu, Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Oktoba 5, 2024. Zanzibar inaanza Uboreshaji wa Daftari Oktoba 07 hadi Oktoba 13, 2024 na vituo vitakuwa vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni. (Picha na INEC).
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa
Mahakama Kuu Asina Omar (kushoto) akiangalia namna Waandishi Wasaidizi na
Waendesha Vifaa vya Bayometriki waliokuwa katika mafunzo wakifanya mazoezi ya
uboreshaji kwa vitendo katika kituo cha Walimu Kiembesamaki, Wilaya ya
Magharibi B Mkoa wa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Oktoba 5, 2024. Zanzibar
inaanza Uboreshaji wa Daftari Oktoba 07 hadi Oktoba 13, 2024 na vituo vitakuwa
vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni. (Picha
na INEC).
Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Magdalena Rwebangira (kulia) akiangalia
namna Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki waliokuwa katika
mafunzo wakifanya mazoezi ya uboreshaji kwa vitendo katika kituo cha Skuli ya
Dunga, Wilaya ya Kati Mkoa Kusini, Zanzibar Oktoba 5, 2024. Zanzibar inaanza
Uboreshaji wa Daftari Oktoba 07 hadi Oktoba 13, 2024 na vituo vitakuwa
vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni. (Picha na
INEC).
0 Maoni