Waziri Mkuu Majaliwa akijibu maswali bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali lililoulizwa na Mbunge wa Mbinga, Benaya Kapinga bungeni jijini Dodoma, Oktoba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni