Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete (wa
pili kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya
Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 30,
2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, bungeni jijini
Dodoma, Oktoba 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Maoni