Rais Samia ahudhuria mashindano ya Qur’an Tukufu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihudhuria Mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024.

Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushuhudia mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake tarehe 31 Agosti, 2024. Mashindano hayo yalihudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi zawadi washindi wa mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake yaliyofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Waumini wa Dini ya Kiislam katika mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake yaliofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni