Rais Samia atumia kalamu yake kutengua uteuzi wa viongozi wengine

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya kutengua uteuzi wa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye Julai 21, 2024, leo ameendelea kutengua uteuzi wa viongozi wa mashirika na mfuko uliopo uliopo chini ya wizara hiyo.



Chapisha Maoni

0 Maoni