Rais Samia afanya mazungumzo na M/kiti wa Adani Group ya India

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Juni, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni