Matukio ya Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni leo

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma Juni 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande (Kulia), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirkiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Katikati) na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, Bungeni jijini Dodoma Juni 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni