Rais Dk. Mwinyi akutana na balozi wa Saudia Arabia

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania, Mhe.Yahya bin Ahmed Okeish na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 27 Aprili 2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania, Mhe.Yahya bin Ahmed Okeish na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 27 Aprili 2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania, Mhe.Yahya bin Ahmed Okeish na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 27 Aprili 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni