Waziri Mkuu apokea kwa niaba ya Rais Tuzo Mbili kwa Rais Samia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Machi 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akichangia fedha kwa ajili ya kumuwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2025, Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Machi 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea fedha kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, fedha ambazo zimechangwa kwa ajili ya kumuwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2025, Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Machi 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza simu aliyopigiwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuzungumza na wanawake waliohudhuria kwenye Mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Mheshimiwa Rais kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Machi 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Samia ya kutambua mchango wa Mheshimiwa Rais katika kuwezesha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia, kwenye Mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Machi 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya Mazingira kwa niaba ya Mheshimiwa Rais katika kuwezesha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia, kwenye Mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Machi 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Chapisha Maoni

0 Maoni