Waziri Mkuu afunga mafunzo ya zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania, wakati alipofunga mafunzo hayo katika viwanja vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bandarini jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo ya zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania, katika viwanja vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bandarini jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibofya kitufe kuashiria uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Kukabiliana na Vitisho Vya Kikemikali, Kibaiolojia, Kiradiolojia na Kinyukilia na Mpango wa Kitaifa wa Kujiandaa na Kukabiliana na Dharura za Kinyuklia na kiradiolojia, wakati wa ufungaji wa mafunzo ya zoezi  la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania, katika viwanja vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bandarini jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda nyaraka mbili za Mpango wa Kitaifa wa Kukabiliana na Vitisho Vya Kikemikali, Kibaiolojia, Kiradiolojia na kinyukilia na Mpango wa Kitaifa wa Kujiandaa na kukabiliana na Dharura Za Kinyuklia na kiradiolojia, wakati wa ufungaji wa mafunzo ya zoezi  la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania, katika viwanja vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bandarini jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel nyaraka mbili za Mpango wa Kitaifa wa Kukabiliana na Vitisho Vya Kikemikali, Kibaiolojia, Kiradiolojia na kinyukilia na Mpango wa Kitaifa wa Kujiandaa na kukabiliana na Dharura Za Kinyuklia na kiradiolojia, wakati wa ufungaji wa mafunzo ya zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania, katika viwanja vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bandarini jijini Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

0 Maoni