Rais Samia ashiriki Kongamano la Wanawake la TAWiFA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye hafla ya Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na Chama Cha Wanawake Katika Sekta ya Fedha (TAWiFA) lililofanyika Hotel ya Kwanza Kizimkazi Visiwani Zanzibar leo Machi 14, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili ukumbini kwa ajili ya uzinduzi wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) katika hoteli ya Kwanza, Kizimkazi Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi wakati akiwa kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na Chama Cha Wanawake Katika Sekta ya Fedha (TAWiFA) lililofanyika Hotel ya Kwanza Kizimkazi Visiwani Zanzibar leo Machi 14, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza jambo kwa makini wakati akiwa kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na Chama Cha Wanawake Katika Sekta ya Fedha (TAWiFA) lililofanyika Hotel ya Kwanza Kizimkazi Visiwani Zanzibar leo Machi 14, 2024.

Baadhi ya washiriki wakisikiliza jambo wakati wakiwa kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na Chama Cha Wanawake Katika Sekta ya Fedha (TAWiFA) lililofanyika Hotel ya Kwanza Kizimkazi Visiwani Zanzibar leo Machi 14, 2024.


Baadhi ya Wadau wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni