Rais Samia ashiriki hafla ya The Citizen Rising Woman

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam jana usiku tarehe 08 Machi, 2024.

Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki kwenye Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam jana usiku tarehe 08 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na viongozi wengine wakati wa hafla ya The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam jana usiku tarehe 08 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi   wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya The Citizen Rising Woman jana usiku tarehe 08 Machi, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni