Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip,
Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimsikiliza Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland wakati
wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya
Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi,
2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, viongozi na wageni waalikwa
wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa
Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika
Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.
Baadhi ya wageni waalikwa kutoka nchi wanachama za Jumuiya ya
Madola wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa
Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya
Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.
0 Maoni