Makamu M/kiti NEC atembelea kituo cha kupigia kura

 

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk akiangalia orodha ya wagombea iliyobandikwa katika Kituo cha Kupigia Kura Shule ya Msingi Bohari iliyopo Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam leo Machi 13,2024.

Jaji Mbarouk alitembelea vituo vya kupigia kura katika Kata ya Kimbiji kuangalia maandalizi ya Uchaguzi mdogo katika Kata hiyo inayotaraji kufanya uchaguzi Machi 20,2024 ambapo kata 22 zitafanya uchaguzi mdogo siku hiyo. Wengine pichani ni Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigamboni, Bw. Erasto Kiwale (kulia) na Msimamizi Msaidizi Ngazi ya Kata, Bi. Twidike Ntwima.

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mstaafu), ametembelea vituo vya kupigia kura katika Kata ya Kimbiji kuangalia maandalizi ya Uchaguzi mdogo katika Kata hiyo inayotaraji kufanya uchaguzi Machi 20,2024 ambapo kata 22 zitafanya uchaguzi mdogo siku hiyo. Wengine pichani ni Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigamboni, Bw. Erasto Kiwale (kulia) na Msimamizi Msaidizi Ngazi ya Kata, Bi. Twidike Ntwima.

Chapisha Maoni

0 Maoni