Waziri Mkuu akutana na ujumbe kutoka NAACC ya Korea Kusini

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mtawala wa Mamlaka ya Kusimamia Uendelezaji wa Mji wa Serikali wa Korea Kusini, alipozungumza naye kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Januari 26, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa zawadi Mtawala wa Mamlaka ya Kusimamia Uendelezaji wa Mji wa Serikali wa Korea Kusini, Hyeong Ryeol Kim alipozungumza naye kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Januari 26, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mtawala wa Mamlaka ya Kusimamia Uendelezaji wa Mji wa Serikali wa Korea Kusini, Hyeong Ryeol Kim alipozungumza naye kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Januari 26, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni