Mfumo wa kununua umeme wa mita za LUKU watapa hitilafu na kuibua adha

 


Baadhi ya wateja wa Shirika la Umeme Tanzania leo wamejikuta wakikutana na adha ya kukosa umeme baada ya mita zao kuisha uniti za umeme walizonunua na kushindwa kununua tena umeme kutokana na kutokea kwa hitilafu katika mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU.


Chapisha Maoni

0 Maoni