Dk. Abbas akagua miradi ya REGROW Mikumi

 

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas leo tarehe 17.12.2023 ametembelea Hifadhi ya Taifa Mikumi na kukagua Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na mradi wa REGROW.

 Aidha, akiwa katika hifadhi hiyo pia, alifanya kikao na Menejimenti ya Kanda ya Mashariki na kuwataka wahifadhi hao kubuni mazao mapya ya utalii ili kuongeza idadi ya watalii katika Hifadhi za Taifa nchini.



Chapisha Maoni

0 Maoni