Waziri Mkuu Majaliwa azungumza na watumishi wa ofisi yake

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake, kwenye kikao na Watumishi hao, kilichofanyika katika Ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma Novemba 11, 2023. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Mashaka Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipozungumza nao kwenye kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma Novemba 11, 2023. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Mashaka Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni