Waziri Mkuu ashiriki kwenye mazishi ya aliyekua Mkuu wa Wilaya mstaafu

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Kassim Abdallah, ambaye ni mtoto wa Marehemu Bi. Fatma Mikidadi aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa na Mbunge wa Viti Maalum kwa nyakati tofauti, mkoani Lindi Novemba 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wafiwa kwenye mazishi ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa na Mbunge wa Viti Maalum kwa nyakati tofauti Marehemu Bi. Fatma Mikidadi, mkoani Lindi Novemba 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki kwenye sala ya kumuombea aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa na Mbunge wa Viti Maalum kwa nyakati tofauti Marehemu Bi. Fatma Mikidadi, mkoani Lindi Novemba 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi, katika mazishi ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa na Mbunge wa Viti Maalum kwa nyakati tofauti Marehemu Bi. Fatma Mikidadi, mkoani Lindi Novemba 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni