Waziri Mkuu afungua Mkutano Mkuu wa 7 wa mwaka wa TEF

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Saba wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) baada ya kuufungua rasmi, katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi, Novemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea tuzo ya kuthamini mchango wake katika vyombo vya Habari, kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Saba wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliyofanyika katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi, Novemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Saba wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliyofanyika katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi, Novemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwanahabari Mkongwe, Salim Said Salim, wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Saba wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliyofanyika katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi, Novemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Mathew Kundo, wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Saba wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliyofanyika katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi, Novemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi tuzo kwa niaba ya NSSF, Lulu Mengere kwenye Mkutano Mkuu wa Saba wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) baada ya kuufungua rasmi, katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi, Novemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni