Rais Mhe. Samia Suluhu Hassana ameshiriki Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh, nchini Morocco.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassana ameshiriki Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh, nchini Morocco.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika,
Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.

0 Maoni