Rais Samia ashiriki mkutano wa mabadiliko ya tabianchi Afrika

  

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia jambo katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Jijini Nairobi nchini Kenya.

 Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akiwa na viongozi wengine katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Jijini Nairobi nchini Kenya. 

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika, Nairobi nchini Kenya.

Chapisha Maoni

0 Maoni