Viongozi wanawake wenye ushawishi duniani wakutana SA

 

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa Bangladeshi, Sheikh Hasina Wazeed leo mara baada ya kukamilika kwa mkutano wa 15 wa BRICS Mapema leo nchini Afrika Kusini.

Sifa kuu kwa Wanamama hawa wote kwa nyakati tofauti wamewahi kutajwa na Jarida la TIME’S 100 la nchi Marekani kuwa ni miongoni mwa Wanawake 100 Dunia wenye nguvu ya ushawishi mkubwa.

Nyingine ni wapambanaji wa jinsi na usawa katika kuleta maendeleo ya Dunia.

Sheikh Hasina ni Waziri Mkuu wa Bangladesh toka mwaka 2009.

Chapisha Maoni

0 Maoni