Sterling aisaidia Chelsea kupata ushindi wa kwanza EPL

 

Mshambuliaji Raheem Sterling anawaza kutikisa nyavu kwa asilimia 100, baada ya kufunga magoli mawili na kuisaidia Chelsea kuifunga Luton magoli 3-0.

Matokeo hayo ya katika Ligi Kuu ya Uingereza yanaifanya Chelsea kupata ushindi wa kwanza wa ligi hiyo ikinolewa na kocha Mauricio Pochettino.

Sterling, 28, alifunga magoli hayo mawili na kusaidia linguine la Nicolas Jackson jana Ijumaa, akirejea katika kiwango chake.

Chapisha Maoni

0 Maoni