Blogger maarufu Lemutuz afariki dunia


 William Malecela, maarufu kama Lemutuz ambaye ni Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, amefariki dunia.

Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na Meneja wa Lemutuz Tv Deusdedith Innocent amefariki dunia leo Mei 14, 2023  katika hospitali ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam

jijini Dar es Salaam.


William Malechelea ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu John Malechela. 

Chapisha Maoni

0 Maoni