Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Kuapishwa Kesho

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Dkt. Mwingulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla itakayofanyika kesho Novemba 14, 2025 Ikulu ya Chamwino Dodoma.



Chapisha Maoni

0 Maoni