Waziri Mkuu
Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri
Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba 13, 2025.
Mheshimiwa
Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri
Mkuu wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge.



0 Maoni