‘Selfie’ na Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia

 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ‘Selfie’ pamoja na wananchi wa Maswa mara baada ya kuwahutubia katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Simiyu tarehe11 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia piga picha ‘Selfie’ aliyoipiga pamoja na wananchi wa Maswa mara baada ya kuwahutubia katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Simiyu tarehe11 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomyesha picha ‘Selfie’ aliyoipiga pamoja na wananchi wa Maswa mara baada ya kuwahutubia katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Simiyu tarehe11 Oktoba, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni