Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana
na kuzungumza na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa
Afrika (AUEOM) ulioongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana na Kiongozi
wa Misheni hiyo, Mhe. Mokgweetsi Masisi, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe
25 Oktoba, 2025.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka
Umoja wa Afrika (AUEOM) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana Mhe. Mokgweetsi
Masisi Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka
Umoja wa Afrika (AUEOM) ulioongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana na
Kiongozi wa Misheni hiyo, Mhe. Mokgweetsi Masisi, Ikulu ndogo ya Tunguu,
Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2025.

0 Maoni