Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa Ndege wa Mwanza katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM
mkoani Mwanza tarehe 07 Oktoba, 2025.

Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa Ndege wa Mwanza tarehe 07 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Mwanza tarehe 07 Oktoba, 2025.

0 Maoni