Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili
kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Ushirombo kusherehekea Siku ya Mwalimu Bukombe.
Mhe.
Kassim Majaliwa ambaye ni mgeni rasmi katika Siku ya Mwalimu - Bukombe
amewasili katika viwanja hivi akiambatana na mgombea Ubunge jimbo la Bukombe,
Dkt. Doto Mashaka Biteko.
Huu
unakuwa msimu wa sita wa Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Bukombe tangu
yalipoanzishwa rasmi.
#Bukombe
#kusemanakutenda
#SikuyaMwalimuDuniani
#sikuyamwalimubukombe2025




0 Maoni