Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere lililofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Oktoba 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kumwakilisha Rais Dkt. Samia kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Oktoba 11, 2025. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo , Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa William Anangisye na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 Maoni