Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi
mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda kwa ajili ya
kuendelea na Kampeni za Uchaguzi za CCM, mkoani Katavi tarehe
18 Oktoba, 2025.

Shamra
shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa mkutano wa Kampeni,
Mpanda mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.

0 Maoni