Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa
Bukoba mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Kagera
tarehe 16 Oktoba, 2025.
Sehemu ya
Wananchi wa Bukoba mjini waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Kaitaba
mkoani Kagera tarehe 16 Oktoba, 2025.
Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa
nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha

0 Maoni