Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu katika mkoa wa Ruvuma, tarehe 21 Septemba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Mbinga mkoani Ruvuma ambao waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.

0 Maoni