Kampeni za CCM Dkt. Samia atinga Tanga

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muheza Ndugu Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’ mara baada ya kuwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Muheza mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Muheza mkoani Tanga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 29 Septemba, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni