Wananchi wameanza
kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Tanazania,
kushuhudia mechi ya ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN 2024, ambapo leo Agosti
02, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itachuana na Burkina Faso,
kuanzia saa 2:00 usiku.
Wananchi wameanza kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Tanazania, kushuhudia mechi ya ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN 2024, ambapo leo Agosti 02, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itachuana na Burkina Faso, kuanzia saa 2:00 usiku.

0 Maoni