Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu, Mhe. Job Yustino
Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mtaa wa
Njedengwa, jijini Dodoma, jana Ijumaa tarehe 9 Agosti 2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi akitoa pole kwa Dkt. Fatma
Mganga, ambaye ni mjane wa Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika nyumbani kwa marehemu, Mtaa wa
Njedengwa, jijini Dodoma, jana Ijumaa tarehe 9 Agosti 2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, akiwapa pole
baadhi ya waombolezaji kwenye msiba wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai, alipofika nyumbani kwa marehemu,
Mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, kwa ajili ya kusaini kitabu na kutoa pole, jana Ijumaa tarehe 9 Agosti 2025.
0 Maoni